English
Ubongo Kids - Learn Ubongo with Sustainable Thinking! | Swahili Videos
Kuza ubongo wako! Video hii itakufundisha kuhusu fikra endelevu! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
Year
2017
Duration
9m
IMDb
0
Episodes
1
You Might Also Like
Primary 6 English
Primary 4 English
SS 1 English
PrePrimary English
Primary 5 English
PrePrimary English
Year4 English
JS 1 English
KS1 English
JS 3 English
KS2 English
Level 2 English | Little Fox
SSS12 English
Level 3 English | Little Fox
Level 9 English | Little Fox
Year7 English
Year 1 English
Year9 English
Year8 English
Grade 1 English
KS1 English
Level 6 English | Little Fox
Level 5 English | Little Fox
JSS8 English
Explore More
Discover partner platforms for games, short dramas, and more entertainment.

