Pop

ROSE MUHANDO - FUNGA MKANDA(Official Video). SMS SKIZA 69815552 to 811

Pop

Karibu usikilize na kutazama โ€œFunga Mkandaโ€, wimbo wenye ujumbe wa nguvu unaomtia moyo kila mtu kusimama imara katika safari yake ya imani, kuvumilia changamoto na kuendelea kumtegemea Mungu. ๐Ÿ™๐Ÿ”ฅ Kupitia muziki wa Gospel/Afrobeat, Wimbo unatukumbusha kuwa safari ya maisha na wokovu inahitaji ujasiri, uvumilivu na moyo wa kutokata tamaa. Funga Mkanda, simama imara, songa mbele โ€” Mungu bado ana mpango na wewe. ๐ŸŽค Msanii: Rose Muhando ๐Ÿ’ฟ Album: ZAMANI ZILE ๐ŸŽต Wimbo: Funga Mkanda ๐ŸŽผ Genre: Gospel / Afrobeat ๐Ÿ—ฃ๏ธ Language: Swahili ๐ŸŽน Producer: Yusuph Manamba ๐ŸŽธ Solo Guitar: Andrew ๐ŸŽš๏ธ Mix & Master: Laizer Classic ๐ŸŽฌ Video Director: Hassan Mbangwa

Year

2026

Duration

5m

IMDb

7.7

Cast

Rose Muhando

Singer

You Might Also Like